Usitumie opera mini.
Tumia chrome. Na hakikisha kule kwenye option umeweka Desktop mode,
Pia unaweza kutumia Phoenix Browser iko poa.
Kwa watumiaji wa Samsung.. ile browser nayo inasupport.
Pale kuna vitoto vya kihindi, mixa waarabu...
Af wengi pale wametoka familia nzuri.. ndo maana parking yao upande ule wa New Library inajaa magari kuntu... ile College acha
Miaka ya Nyuma UD admission ilikuwa unachukua pale Nkrumah na unasign Sasa Sina uhakika Kama Sikuhizi nawao wanamfumo Kama wa UDOM unashusha tu kwenye ALIS yao