wiz king treasure
Member
- Apr 25, 2015
- 52
- 2
Wakuu umebaki siku moja kuripoti chuo lkn admission letter sijapata na nikiingia kwenye tovuti ya chuo zinapatikana za wale walochaguliwa direct toka tamisemi msaada wandugu ntaipataje?
zipo kwenye web ya udom[/QUOTE
Dah!
zipo kwenye web ya udom
Dah! Aisee
usibishee kaka,,,, mimi ndo nakwambiaa tushazitoaa za madogo kama 10
Zilizo kwenye web ni kwa wale walochagulia direct kutoka tamisemi mkuu