Ahsante kaka kwa ushauri wa onyo shukurani ngoja nifanye ivo niangalie napoKijana kama unaufaulu wa wastani na unataka kozi nzuri,
Suka vizuri mkeka wako, chezesha vyuo vya wastani kama vile UDOM, MUST, MWECAU na SAUT
Vile huwa havijai
Utanishukuru baadae