Naomba ushauri...Boss wangu ameongeza account ya Administrator on my laptop. So my laptop has now 3 accounts; Administrator; My Account and the Guest Account.
What does Administrator Account mean?
Administrator ataweza kuona private Files zangu saved on my laptop? maana kama kawaida nimeweka files nyingi pamoja na za biashara, CV , Picha, some music etc..
nishaurini kama kuna haja ya kuhamisha my private files maana mabossi hawatanielewa.....
Thanks