Admin wa hili group kiboko

Bonny

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
13,371
29,939
Kuna group nimeingia huko whatsapp nikauliza jamni vipi?kimya, jamani wazima humu nikakuta kimya

nimebadili jina la group kuwa "wauza madawa ya kulevya wa dar" hivi navyosema wameleft karibu wote ...nataka mambo mubashara bwana alaah
kwamba kunijibu nalo ni suala mtambuka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…