Hii ni maana yake katika lugha chanzi ya Kireno. Miaka fulani ya nyuma hapa Tanzania msemo huu ulikuwa unatumika kama salamu ya kisasa kwa vijana badala ya kuwa msemo wa kuagana.
Nadhani walipata athari kutoka kwa mabaharia wa Kireno/Msumbiji ambao walikuwa wanasema Kireno (Kumbuka miaka hiyo kazi ya ubaharia ilikuwa ya kijanja na ndoto ya vijana wengi).