C coolbabyboi Member Joined Jan 19, 2012 Posts 10 Reaction score 1 Jan 22, 2012 #1 habri zenu wana JF naomben msaada juu ya hili nimekuwa addicted na FACEBOOK cjui jinsi ya kuacha ?
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,226 Jan 22, 2012 #2 angalia usiwe addicted na jf pia.
Inkoskaz JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 6,359 Reaction score 2,379 Jan 22, 2012 #3 Kongosho said: angalia usiwe addicted na jf pia. Click to expand... Bora addiction ya jf maana kuna madaktari waliobobea watakushauri
Kongosho said: angalia usiwe addicted na jf pia. Click to expand... Bora addiction ya jf maana kuna madaktari waliobobea watakushauri
ENZO JF-Expert Member Joined Sep 30, 2010 Posts 4,248 Reaction score 1,745 Jan 22, 2012 #4 coolbabyboi said: habri zenu wana JF naomben msaada juu ya hili nimekuwa addicted na FACEBOOK cjui jinsi ya kuacha ? Click to expand... facebook! facebook! facebook!! agriiiiiiiiii!!!!*!"¥,*&# ......... kawaulize huko huko facebook.
coolbabyboi said: habri zenu wana JF naomben msaada juu ya hili nimekuwa addicted na FACEBOOK cjui jinsi ya kuacha ? Click to expand... facebook! facebook! facebook!! agriiiiiiiiii!!!!*!"¥,*&# ......... kawaulize huko huko facebook.
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,554 Reaction score 11,485 Jan 22, 2012 #5 Ukiwa busy facebook utaisahau ila kwa kuwa hauna mambo mengi ya kufanya lazma uwe addicted nayo.
Da Pretty JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 3,059 Reaction score 1,153 Jan 22, 2012 #6 Hata mimi wakati ule najiunga FB nilikua kama wewe,lakini tangu nimeingia JF....! Kabla sijamshukuru Mungu kwa kumaliza siku salama,huwa napita hapa kwanza.
Hata mimi wakati ule najiunga FB nilikua kama wewe,lakini tangu nimeingia JF....! Kabla sijamshukuru Mungu kwa kumaliza siku salama,huwa napita hapa kwanza.