Adicted

Adicted

coolbabyboi

Member
Joined
Jan 19, 2012
Posts
10
Reaction score
1
habri zenu wana JF naomben msaada juu ya hili nimekuwa addicted na FACEBOOK cjui jinsi ya kuacha ?
 
habri zenu wana JF naomben msaada juu ya hili nimekuwa addicted na FACEBOOK cjui jinsi ya kuacha ?

facebook! facebook! facebook!! agriiiiiiiiii!!!!*!"¥,*&# ......... kawaulize huko huko facebook.
 
Ukiwa busy facebook utaisahau ila kwa kuwa hauna mambo mengi ya kufanya lazma uwe addicted nayo.
 
Hata mimi wakati ule najiunga FB nilikua kama wewe,lakini tangu nimeingia JF....!
Kabla sijamshukuru Mungu kwa kumaliza siku salama,huwa napita hapa kwanza.
 
Back
Top Bottom