Adharusi
JF-Expert Member
- Jan 22, 2012
- 14,493
- 7,417
Tajiri aliamka asubuhi akachungulia dirishani akamuona masikini akitafuta chakula jalalani,tajiri akajisemea asante MUNGU kwa7bu mm c masikini,masikini nae alipogeuka akamuona kichaa kavua nguo akajisemea asante MUNGU mm c kichaa,kichaa nae alipoangalia barabaran akaona ambulance ikipeleka mgonjwa hsptl kichaa akajisemea asante MUNGU mm c mgonjwa,mgonjwa nae alipoangalia nje akaona watu wamebeba maiti wanaenda kuzika akajisemea asante MUNGU mm cjafa.
Mshukuru MWENYEZI MUNGU kwa kila jambo....
Mshukuru MWENYEZI MUNGU kwa kila jambo....