Mbaya sana, waliomfanyia hivyo wachukuliwe hatua za sheria.
Hawawezi kujichukulia sheria mikononi mwao, mwizi anahukumiwa kwa sheria za nchi zilizopo na si kumtesa hivyo.
Mkuu uliwahi kuibiwa na hizi sheria za nchi zikakusaidia?
Nimeibiwa sana tu, lakini siamini kama kumtesa binaadam mwenzio namna hiyo ndiyo inalipa thamani ya kuibiwa.
Sisi mtaani kwetu hakuna vibaka maana tunawapa adhabu ndogo ya kuwachoma moto hadi kuwa majivu wapatikanapo na makosa ya ukwapuaji...
Ngojeni siku mkishikwa ndiyo mtajuwa ni nini maisha ya binadam.
Ni kweli, na sidhani kama ataweza hata kusimamaAkishushwa hapo hata ukimpa chakula hawezi kula....