Adhabu ya kunyimana.

Umenena vema!
Hii ndiyo suluhu ya tatizo!
 

kuna wanawake wasio kuwa na nyege kabisa na hii ni maumbile tu na hasa wakifika umri fulani yaani miaka kuanzia 35 kuendelea. lakin pia wapo ambao wao nyege zao ziko chini na hii husababishwa wengi na matatizo ya kisaikolojia.

lkn mwanamke ambaye anamnyima mumewe kama adhabu bado simwelew kwamba ndo silaha anayoweza kuitumia kabisa ambayo inamuadhibu hata yeye mwenyewe?
 
nani kasema hatuna,tunazo pipa mia 8!sijui wenzangu!
 
nani kasema hatuna,tunazo pipa mia 8!sijui wenzangu!

Mwalimu wangu snowhite isingekuwa mipaka ya maadili ningesema tuzipime, ukwel ni kama alivosema sweetlo gfsonwin apo juu wengine hawanaga au wengine ziko mbali na nahisi kundi kubwa lipo hapa! Lol
 
Last edited by a moderator:
kuna wengine hawanyimi, ila unatengewa bila ushirikiano kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…