Adhabu ya ko sa hili ni ipi????

Adhabu ya ko sa hili ni ipi????

Manyanza

Platinum Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
21,691
Reaction score
57,062
Wakuu....

naomba kujuzwa adhabu ya makosa haya.. kwa mfano mtu ambaye sio raia wa Tanzania
1. kuishi nchini bila kibali
2. kukosa viza
3.kufanya kazi bila kibali

na endapo mtu anapatikana na makosa adhabu yake ni ipi???

nitashukuru sana mkinijuza haya
 
kwa hayo makosa yote hapo adhabu yake ni faini isiyozidi 100,000 au kifungo kisichozidi miaka 3 au vyote kifungo na faini...
 
Back
Top Bottom