Adhabu nyingine kwa wanafunzi sio kabisa

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,292
1453789680478.jpg
1453789680478.jpg
 
akitoka apo hafanyi tena ilo kosa. nilipigwa bakora 5 na baada ya wiki nilikariri jadweli kuanzia 1*1 mpaka 12*12
 
itakuwa ngumu kama atakuwa raisi wa nji hii kuwazia kumuongezea mwalimu mshahara
Ni adhabu yenye madhara kwa maisha ya baadae
kama umefanya utafiti, watoto wadogo ukianza kuwafanyia ukatili na kuwa expose kwenye ukatili/uovu mwingine kwenye hii dunia, wanapoteza "innocence" yao mapema, na wanakuja kuwa na roho ngumu balaa
 
Walimu wengine wanakuwaga na roho mbaya sana.....
Adhabu wanazotoa hazifundishi chochote kile
 
Hii ndo faida ya walimu kupitia kwenye ile kozi ya mafunzo ya lazima yaan mujibu
 
Back
Top Bottom