baraka bb
JF-Expert Member
- Mar 20, 2016
- 2,691
- 3,859
Mambo vipi,
Uzi huu ni spesho kwa waliopanga au wenye nyumba za masta tu nikimaanisha choo kipo kwenye chumba cha kulala, Hivi karibuni nimehama kutoka chumba kimoja chenye choo cha nje na kuhamia chumba cha kodi elfu50 choo cha ndani.
Sasa tatizo kila nikikata gogo harufu inarudi chumbani, chumba chote kinakuwa puyaaaa daaaah nakereka sana kama kuna sabauni au Air fresh nzuri ya chooni naomba mnielekeze kukata hii harufu.