Adhabu hizi sizisahau

Adhabu hizi sizisahau

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,120
1421226108738.jpg
 
Kuna ile ya kuweka mawe mkononi kisha uinue mikono juu daaa chozi lazima litoke ....khaaaaa basi tu
 
Mwalimu ameketi anaangalia jinsi anavyowasulubu watoto wa watu
 
kiboko ni ile ya kushika
masikio yaani tulikuwa tunatapika
 
Ila kuna walimu wana roho mbaya, hawana huruma hata hv kweli.mtoto wake anaweza kumpa adhabu kama hii, nashukuru shuleni kwetu haikuwepo

Namkumbuka mwl shelutete usagara ilikuwa magoti na deski unabeba kama hilo tofali.
 
Namkumbuka mwl shelutete usagara ilikuwa magoti na deski unabeba kama hilo tofali.

mh! mbona hiyo kali deski lilivyo kubwa anastahili kushtakiwa kwenye mahakama wanazohukumiwa warandwa kwa mauaji
 
Back
Top Bottom