Adhabu hii itolewe kwa wezi wa wake za watu...

wanaume bwana,kuchepuka nyie mnajionaga sawa ila tuchepuke sie wanawake kinawauma hadi basi...ugueni pole asee...
 
Wezi!! Yaani akuibe alafu arudi kwako tena!! Hapo kaiba au kaazima?
Mke/mume anaibwaje?
 
Kumpiga mwanaume mwenzako kwa sababu ya mwanamke,Huo na udhaifu na uvivu wa fikra! Kwani yeye alimteka wanawake hawa wa sasa wanakwambia mie sina mume wakati mume kasafiri.....
Na wanaune wa sasa wanasema hawana mke wakati mke yupo nyumbani.
 
Ngoma Droo Ngumi za nini sasa!
 
Back
Top Bottom