Adhabu hii inamfaa nani?

Hiyo adhabu inamfaa sana mwizi mkimfunga hivo anakaa siku 3 nzima mbona atatia adabu[emoji124]
 
Yule baba alitudanganya kuwa tutaishi kama malaika kumbe anatupeleka jehanam.

Sky Eclat Natamani kuota ndoto ikujibu hiviii haya twende ndotoni mamaa .........." bado anasawazisha malaika wanakuwa mashetani kwa nguvu sana na mashetani tumestuck pale pale soon tutakuwa sawa sawa juu ya makenchi ya viwanda"

Ila ndoto ni marufuku siku hizi ..........Hakuna kuota ota

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…