Adha ya Maji UDSM na Athari Zake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Adha ya Maji UDSM na Athari Zake

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by bampami, May 2, 2012.

 1. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,851
  Likes Received: 1,288
  Trophy Points: 280
  Ukitaka kujua kuwa usomi c chochote, basi maji yakatike hata kwa siku moja tu hapa udsm campus. Vyoo vinakuwa kama havi2miwi na wasomi, mtu na akili zake anaingia chooni hana maji anaachia mzigo bila kuflash choo,cha ajabu anakuja mtu mwingine anaweka mzigo juu ya mzigo mwingine.
  HIVI NINI MAANA YA USOMI WENU? MKIFANYA NYIE HIVYO NA WASIO WASOMI WAFANYEJE?
  Tujirekebishe wadau!! Aibu kwetu mbele ya taifa letu.
  Hall 5, hall 2 n.K.
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Asa c uhamie udom kwa wastaarabu.
   
Loading...