Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,315
Asafali umemsaidia kumalizia kwani yaonekana anaogopa kuitwa mchochezi.Kolomije
CCM: Tumebadili katiba na kanuni za chama ili kuleta maendeleo kwa wananchi.
Cha ajabu huyo mama ukikuta anakata mauno ule wimbo wa Komba wakati wa kampeni utashangaa, ule wimbo unasahaulishaga shida zote.CCM: Tumebadili katiba na kanuni za chama ili kuleta maendeleo kwa wananchi.
Tungekuwa jangwani yamkini tungeshakufa wote.Mwaka wa 56 huu tangu uhuru bado tunazungumzia shida ya maji hali tuna bahar maziwa makuu mito mikubwa na stock ya kutosha ya underground water CCM imefeli tungekua jangwan sijui ingekuaje...
Jaman ccm imefeli
Jaman ccm imefeli
Duh!!!
Kolomije
anabahati sikuwepoo hapo au anamsaidia mkuu kutafutaa vyetiiii nini!