Mkwala
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 1,162
- 1,235
Wasalaam,
Napenda kuuliza kwa wale wapenda kushuhudia show za live kwa Wasanii wa Bongo fleva ni muda gani huwa wanaanza kuperform Maana nimelipa kiingilio nikafanya analysis ya Msanii Darasa nimeambiwa atafanya show pande za Migebuka City.
Lakini naona kama hakuna mzuka wowote hapa nilipoingia sijui show itapigwa majogooo.Naendelea kuwapa kinachoendelea kwa ujio wa XXL na Msanii Darassa kipande hichi kama huwa Media zinakuza au zinawapamba hawa Wasanii wetu