Mkama mtakumbuka RAGE aliwahi kukaririwa na TV fulani week kadhaa zilizopita akisema kwamba kocha wao cokvic aende tu kwao SERBIA na kwamba awape contact zake watamlipa pesa zake kwa njia ya bank eti wanabanywa na sheria kulipa malipo zaidi ya $ 10,000 , kumbe zile zilikuwa fix zake tu.
Mbona tumeona kwenye vyombo vya habari Malikia wa nyuki kamlipa mzungu wa watu pesa zake powa kabisa , hiyo sheria imeenda wapi? Tatizo la RAGE kujifanya eti ni mwana sheria sijui na Tundu Lissu tumwiteje, Sasa Mzungu kalipwa ametustiri aibu wana SIMBA
RAGE HUYU JAMANI Mbabaishaji kweli.