Aden Rage ni mwanasiasa mbabaishaji na tapeli

Huyu jamaa nikweli ananishani za utapeli wa kisiasa, uongo kwenye medani za soka,usanii kwa wapiga kura wa jimboni kwake na wanachama wa simba, wizii kwenye chama cha Fat /Tff.source:hakimu aliyemhukumu
 
Huyo msomali anawadharau,siku ile alivyomwambia huyo mserbia alinikera sana alionesha dharau sana pia hata siku ile alipokuwa anawajibu ovyo kundi la mpira pesa.jamaa anawaona wajinga.
 
Kuna kipindi aliulizwa na waandishi kuhusu sababu za kumuondoa yule msemaji wao(simkumbuki jina) alijibu kifedhuli kuwa hawezi kuzungumzia watu wenye vyeo vya usekretari. Joka hapo nilimuona wa hajabu sana.
 
Yule Jamaa anaitwa Clifford Mario Ndimbo,hlf Mshikaji ni School mate wangu,namfahamu fika ni Jembe ile mbaya huwezi kumlinganisha na huyu wa sasa hivi (Kamwaga)
 
Ni kweli RAGE kabwaga manyanga baada ya kipigo cha leo?
 
Ivi we wasomali unawachukia poa sana eenhee? Cha kumfanya abwage manyanga ni kipi wakati Kapombe na Ngassa wapo sokoni unataka apishane na hela? Hayo yenu ni maneno tu ata kwenye khanga yapo mkichoka mtanyamaza ata kule Kenya walidai wameshawamaliza Al shabaab lakini kila siku wanawasha moto, hawa jamaa wana roho ngumu sana bila viboko hatoki hapo.
 
Back
Top Bottom