Tisha-TOTO
JF-Expert Member
- Feb 10, 2010
- 1,175
- 604
- Thread starter
- #21
Tuwekee na mashindano ya Kimataifa Yanga imeishia wapi na wapi na Simba imeishia wapi.
Academically, usipofika darasa la juu (LY) na kumaliza shule/chuo kwenye ngazi yoyote, hupewi cheti.
Mathalani kwenye ngazi ya shule ya msingi, mtu aliyeishia darasa la 3 hana tofauti na yule aliyeishia darasa la 4.
Equivalent ya vyeti kwenye football ni trophies. Common sense. Hellooooo??