Aden Duale: CCM Itadondoka kama KANU

Mkuu kumbuka hata hapa hayo mambo yapo,chama cha kidini CUF,chama cha wachagaCHADEMA na sasa chama cha kaskazini! Ha ha ha ila kwa bahati nzuri kwa faida ya taifa propoganda hizo zimeshindwa na wananchi wamejua tatizo lilipo.
Mzee si umalizie tu kwamba tatizo ni Rais Kikwete.
 

Acha uongo ww kanu imtka 2002 na huko jubilee aikuwepo jubilee ni chama kpya cha siasa kilchoanza mwKa Jana apo mwanzo 2012 jubilee ilkuwa ni mungano wa urp ya ruto na tna ya kenyatta sasa wanataka uchaguz ujao waw na chama kimoja tuu ambacho ni jubilee
 
Si useme hata kizungu hujui..Utaeleweka tu.
BTW, kama ulisoma kiswahili japo kidogo,uliambiwa "Mswahili ni nani? Tuanzie hapo comrade!!

Ni kweli kiingereza changu kina ukomo kwa maana mimi lugha ya kwanza ni kiswahili, lkn kwenye sentensi yako sijaona neno swahili, kwa maana umesema ,,hawamtaki JK kwa maana ni mswahili"

Sina haja ya kusoma Kiswahili kuelewa Mswahili ni nani, mswahili ni muongeaji na mtumiaji wa Lugha ya Kiswaihili!
 

Umemaliza hapo? I mean,ufahamu wako umeishia hapo? Hivi mtu akikwambia "Wewe Barbarosa Mswahili,anamaanisha unaongea kiswahili,na unatumia kiswahili? Hivyo tuu??
Basi kama ndo hivyo,hata Mrundi anaweza!!
 
Last edited by a moderator:
Umemaliza hapo? I mean,ufahamu wako umeishia hapo? Hivi mtu akikwambia "Wewe Barbarosa Mswahili,anamaanisha unaongea kiswahili,na unatumia kiswahili? Hivyo tuu??
Basi kama ndo hivyo,hata Mrundi anaweza!!

Ndiyo maana yake, hakuna maana nyingine zaidi ya hiyo ni kama vile mtu akikwambia wewe ni Mchina au wewe Ni Muhindi maana yake ni kwamba wewe ni muongeaji na mtumiaji wa lugha ya Kichina/Kihindi!

Na kama mtu ktk Urundi anaongea na kutumia Kiswahili na anajua kiswahili klk lugha nyingine yoyote ile basi pia ni Mswahili, na ndio maana kuna Wazungu hasa mapadri wanaongea Kiswahili sana watu husema yule Mzungu Mswahili!

Ndiyo maana nasema sikuona neno mswahili kwenye hayo maneno ya akina Museveni kama ulivyosema kwamba wamesema ,,hawampendi JK kwa sababu ni Mswahili", lkn kwenye kiingereza neno Mswahili halipo!
 

Nani kakwambia CCM inachukiwa?

Usilolijua ni usiku wa giza, Subiri 25/10 utafahamu ukweli,
 

Hayo ni mawazo na mtizamo wake, msema kweli ni 25/10 hukumu itatoka.

Siasa za Kenya, Burundi, Rwanda or Uganda ni zao na zinawahusu Sao kwa mazingira yake.

Hata 2010 CDM ilikuwa na mikusanyiko mikubwa tu na matokeo mliyaona.

Watanzania wapo makini sana na watatupatia kiongozi bora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…