Ndiye Addo NovemberHuyo bonge wa picha ya pili ndio “mtu” waliokua wanaishi nae au?
SanaKuna ujumbe mbaya nyuma yake
Inasikitisha sana kwa kweliWabongo wengi mambo ya kujali dignity ya mtu, dignity ya marehemu, hawajali au hawajui kabisa.
Sure Hafai kabisaKwanza hicho cheo sijui rais avuliwe, kaandika utumbo kabisa.
Huyo amenyongwa mtu akinyongwa au akijinyonga lazma ajisaidie.Rais wa shirikisho la muziki nchini Addo November ametoa taarifa fupi kuhusiana na kifo cha Mwanamuziki wa Injili Irene Robert, kuwa alikutwa katika chumba cha Hotel, akiwa mtupu huku akiwa amejisaidia.
Inadaiwa Irene alikuwa akiishi na mtu hotelini hapo kwa zaidi ya wiki tatu.
Rais November ameviomba vyombo vya usalama, kufanya uchunguzi wa kifo cha mwanamuziki huyo, licha ya kuwa hakuna kesi ya mauaji iliyofungiliwa.
Mwimbaji huyo wa nyimbo za Injili nchini, alifariki dunia Machi 20, 2026 baada ya kuugua ghafla. Taarifa za kifo chake zilithibitishwa na mwimbaji mwenzake, Walter Chilambo, kupitia ukurasa wake wa Instagram, akionesha masikitiko kufuatia kuondokewa na rafiki yake wa karibu.
Exactly! baada ya kumsikia mchumba anavojitetea,huku macho makavu, hata Mimi nimeanza kuingiwa wasi wasiAnajaribu kulifanya jambo la kifo. Kilicho mkuta huyo Binti lichukuluwe Kwa uzito wake
Labda ameamua kusema hivyo ili kuviamsha vyombo vya dola kutoka usingizini. Kama huyo msanii amekaa na mtu kwenye hiyo hotel kwa zaidi ya wiki 3! Halafu amekutwa akiwa amekufa, hana nguo na huku amejisaidia!Kwanin mpaka kuandika mtupu na amejisaidia hiyo mbona ni kama kudhalilisha mtu?
Wiki 3 anaishi hotelini na huyo mtu ambaye hajulikaniMsifanye masikhara na kifo hlf huyu inaonekana kafa kwenye uzinzi sasa kifo chake apo ni hatarii yani roho inavotoka ndo mpka aka....ea yani sio poa kifo sio kirahisi kama tunavodhani
Tusijaji sana, huenda anatengeneza awareness kwa vyombo vya dola na jamii ijue nini kinaendeleaHuyo rais mbona kama ana uwalakini upstairs!?
Vyombo husika vitachunguza,kama alikabwa au pigwaTusijaji sana, huenda anatengeneza awareness kwa vyombo vya dola na jamii ijue nini kinaendelea