Umeona sasa hivi ndio ninavyotaka ahsante sanaOkay, sasa ulitakiwa useme so do I. Na sio 'neither do I'
Umeona sasa hivi ndio ninavyotaka ahsante sana
Ndio maana napenda kuchomekea kiinglish ili nijifunze, wewe ukiona sehemu yoyote haijatulia unaniambia
Jamaa dizaini kama kapigwa BAN hivi...hapo anaperuzi kama guest hakuna kutoa comments
hahahaaa. Ulimhalo?
umeona eeeeh? Halafu nikimfagilia ananimaindiiii
olesaidimu
OLESAIDIMU, Ole Ole Oleeee. Come Babyeti anazuga hayasikii maumivu yetu tunapoitisha dikshenari tupate maana ya maneno yake magumu ya kwa malkia!!
eti anazuga hayasikii maumivu yetu tunapoitisha dikshenari tupate maana ya maneno yake magumu ya kwa malkia!!
OLESAIDIMU, Ole Ole Oleeee. Come Baby
'ssup mamz????!!! Watagwan
Never miss
Halafu usichelewe wala kuguna wewe unaweka sawa hapo hapoThats the spirit. Pamoja mkuu
Halafu usichelewe wala kuguna wewe unaweka sawa hapo hapo
Najua kuna jukwaa la elimu ila mimi nataka hapa hapa kwenye mazungumzo ya kila siku, sababu nataka kufanya msasa wa nguvu
Kama kuna mkuu mmoja aliwahi andika tall leg ukamuelekeza sio tall leg = long leg
Hao watakaonicheka ndio wananipa ushindi siogope wala nini
Together as one I can dig you