CAMARADERIE
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,419
- 1,929
Hygeia siwezi kukunja uso kwasababu najua ni kweli kabisa unachosema. Watu wengine wanaogopa kabisa kurudi kwenye nyumba zao wenyewe walizojenga kwasababu misuso, kelele,kiburi, jeuri za wake zao. Basi wakipata pa kubembelezwa hata kama wanajua ni uongo wanafurahia hivyo hivyo.
Please mwambie na Mama_Enock
Hehehehe mama E hataki kuambiwa kitu unaless kinahusu kumpaka matope huyo mbembelezaji.
Kuna thread kule analalamika na mamabo ya kuzaa na waume za watu,akija huku sia atakufa kwa kihoro?
Hygeia siwezi kukunja uso kwasababu najua ni kweli kabisa unachosema. Watu wengine wanaogopa kabisa kurudi kwenye nyumba zao wenyewe walizojenga kwasababu misuso, kelele,kiburi, jeuri za wake zao. Basi wakipata pa kubembelezwa hata kama wanajua ni uongo wanafurahia hivyo hivyo.
They are all over!
haupo mwenyewe!!! trust me!!!
Hakuna kitu nachukia jf kama watu kujifanya ni mahakimu wa maisha ya watu wengine,i really hate it!The most pathetic post to have landed JF. If u r addicted to the bar attendants, who do u think ur kids will be addicted to? Definitely, kupuliza maputo ya condoms unazotupa!! Get a life man, life was designed such that a man should have one wife and love her responsibly. These are God's greatest designs.
Hakuna kitu nachukia jf kama watu kujifanya ni mahakimu wa maisha ya watu wengine,i really hate it!
Paddy, just live your life the way you want to live wengine tuliobaki just give us space tuishi vile tunataka mradi hatuvunji sheria za nchi.And always remember hakuna binadamu mwenye uhuru wa kujitangaza kuwa yeye ni mwema/malaika kuliko wengine and who are you to judge other people na kuwabandika majina ya malaya,harlots etc? and why bring God into this?are you sure concept yako ya 'Mungu' ndo concept ya Baba Enock kuhusu 'Mungu'? unajuaje labda 'Mungu' wa Baba Enock anaruhusu multiple partners? stop judging lest you be judged!
karibu!Asante kwa kunirekebisha, u have a good point. Ndo maana wale senior members wa JF wanakua wamekomaa sana, washapitia machujio kama haya!
Bar Maids ni muhimu sana katika maisha ya wanaume walio wengi! Na honestly wanaume walio wengi wanafahamiana na Bar Maids wengi kuliko wanawake walio kwenye "proffessions" nyingine..
Kwenye phone book yangu kuna namba za Bar Maids zipatazo 40..
I'm just wondering if this is "Addiction" or what?