Aristides Pastory
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 348
- 60
Hatubipu sisi, nia yetu ni kukamata dola sio kupiga domo. 2015 CCM itang'oka tu
watu 350 inatisha?
Tunawakaribisha kwenye mpambano lakini isije ikawa kama akina peter Mzirai kwenye Kampeni mkaja sema wapeni kura CCM kwani CDM hawafai, maana nyie ni vijivyama vya msimu vinajitokeza uchaguzi ukikaribia.
CCM au MaGAMBa yatapukutishwa na CHADEMA 2015 na siyo VINGINEVYO.
HASAN124 Njoo huku tukuvalishe Gwanda uanze MapAMBanO....
Hilo ndio swali la msingi....watanzania wenzangu nashindwa kuwaelewa. Hospitali "zinatambaa" shule zinawalimu ambao moyo wa Kufundisha unauawa kila siku WATU wanakusanyika kujiunga na chama kipya. Du siasa inatuua kwa ujinga wetu.Kila mmoja kalipwa sh. Ngapi kujiandikisha? ... Mbona mikoa yote mnyaokwenda ni njaa tu? ...
Siku moja mitandao ya simu itawahumbua kwa kuwarushia ela watu ili waje wakapigwe picha, yaani unarushihwa tigopesa 20,000 unakujua kujifanya mwanachama wa nanlii..inamaana hawa wote hawakuwa na chama wakati zote? au ndo wamechonshwa na vyama vyao, je inaruhusiwa kuwa mwanachama wa zaidi ya chama kimoja cha siasa?Kila mmoja kalipwa sh. Ngapi kujiandikisha? ... Mbona mikoa yote mnyaokwenda ni njaa tu? ...
Siku moja mitandao ya simu itawahumbua kwa kuwarushia ela watu ili waje wakapigwe picha, yaani unarushihwa tigopesa 20,000 unakujua kujifanya mwanachama wa nanlii..inamaana hawa wote hawakuwa na chama wakati zote? au ndo wamechonshwa na vyama vyao, je inaruhusiwa kuwa mwanachama wa zaidi ya chama kimoja cha siasa?
Hivi kuna chama kinaitwa ADC?,mimi ndio leo nakisikia,kirefu chake nini?au African Development Community?au ni cha wale waliojiengua CUF? hichi chama hakina udini kama CUF? je kina sera gani? viongozi wake ni nani,tafadhali anayejua viongozi wake aweke majina yao tuyaone,kina uwakilishi mikoa yote au ni chama cha kikanda?nijuze kuuliza sio ujinga.
.....Bendera yenu mmewaiga CHADEMA.... Njama zenu raia wamemezishtukia... CHADEMA FOREVER...!
Sawa kamanda,nimekusoma,ccm inajibomoa yenyeweeeee!maana hivi sasa kuna ccm origional,ccmA[nccr],ccmb[cuf],ccmc[adc]na ccmd[chaumma].CDM 4EVER
Unajua Aristide, malengo ya kweli ni kuhakikisha Magamba yanapukutishwa, harakati zenu CDM ni nzuri na inavutia mnavyowatoa jasho hawa jamaa....hongereni kwa Hilo, Lakini pia kuna style nyingi za kuwaondoa madarakani kidemokrasia, Binafsi naamini ADC ndio mkombozi WA kweli WA Mtanzania.
Karibu ADC.
Njaa tu na uchu wa madaraka.