Adamu na Eva walikuwa na Kitovu?

Adamu na Eva walikuwa na Kitovu?

Hell No!

Huyo mungu unayefanana naye ni mungu wako wewe tu...

Mungu wa wote anajitosheleza kiasi cha kutokufanana na si tu binadamu bali hata mabilioni ya species nyingine alizoziumba hapa duniani na kwenye sayari nyingine

Ni kumkosea Mungu pakubwa sana kudhani kwamba tunaweza kujifananisha kivyoyovyote vile na Muumba wetu

Suratul'
Ikhras.....1.....
Mfano sio Org!
Tatizo lako ni kukariri qaraa[emoji12]
Jee Mungu Haoni, Hasikii, Hajui Jema na Baya...?? Yote hayo Mungu Anayaweza!
Na Mwanadamu nae Anayaweza!
Ila Uwezo wa Mungu ni Mkubwa kuliko wa Binadamu!
Dhahir eeh?!
 
Wakuu Salaam,

Napenda kuuliza je Adamu na Eva walikua na kitovu?

Sote tunajua kitovu ( umbilical cicatrix ) ni kovu ambalo hutokana na connection Kati ya mama na mtoto wake akiwa tumboni kukatwa na kuweza kuwatenganisha ili kila mtu awe kivyake japo tunategemeana.

Sasa Adamu na mkewe hawa hawakuwahi kuzaliwa kwa hivyo hawakuunganishwa na hii umbilical cord.

Je walikua na Kitovu ( Mungu aliwaumbia) au sisi binadamu tuu ndo tunakitovu?

Kumbuka Adamu na Eva siyo binadamu bali ni Watu.


Bonge 1 la swali.

Nafurahi kuona watu tunazidi kufunguka akili.

Nami naongezea.

"Mungu wa kwenye biblia ni baba! Ni baba KWA kuwa ana mwana. Na huwezi kuwa baba kama sio wa kiume. Logically Mungu ni wa kiume.
Na huwezi kuwa wa kiume kama huna kiungo kinachokufanya uwe wa kiume. Hivyo Mungu ana m.boo.

Kwa kuwa 1 ya kazi ya m.boo ni kusex na kukojoa (actually huwezi kuwa baba pasipo mama), hivyo Mungu anasex na anakojoa.

Kwa kuwa anakojoa, na ana viungo na ni baba, logically huyo ni kiumbe.

Kwa kuwa ni kiumbe, logically huyo ni muungu na siyo Mungu.

Kwa kuwa ni muungu, ndiyo maana alishindwa kutambua alipo Adam na Eva baada ya kuasi hadi akawa anaita ADAMUUUU UKO WAPIII???
 
OP, you are overthinking.
Mungu aliumba Binadamu kwa mfano wake, vile tulivyo ni mfano wake na sisi tupo na bellybuttons, maana yake na yeye yupo nayo. Na Adam na Eva pia.
We dada Mungu anakitovu..🤣🤣
 
Hawa ndio hutaka kujua pia kuwa fimbo ya Mussa ilikuwa ya mti gani ,😅
Ndiyo wale ambao wanataka kujua yule Mbwa walio kuwa nao vijana wa Pangoni alikuwa dume au jike. Watu wana ujinga mwingi sana. Imefikia hatua hawajui kama wanauliza maswali ya kipumbavu. Hizi tabia walikuwa nazo Mayahudi na ndiyo sababu ikawafanya wakapotea.
 
Mtafute Nyoka umuulize ndiye aliyewaona , wakiwa Bustani wawili wakizunguka zunguka akaona awape dili.
 
Hey atheist you have forgotten to write this statement "Anyone who said there is no God then he/she is a fool" but I'm telling you there is no simple answers in difficult questions.

God bless you so that one day you can believe on him again.
Oh I really love that ridiculous verse in Bible

PSALM 4:1 The fool says in his heart there is no God

If even the fool knows it, then what's your problem?
 
Back
Top Bottom