Adamu na Eva walikuwa na Kitovu?

Adamu na Eva walikuwa na Kitovu?

elishaezekiel

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2016
Posts
563
Reaction score
1,473
Wakuu Salaam,

Napenda kuuliza je Adamu na Eva walikua na kitovu?

Sote tunajua kitovu ( umbilical cicatrix ) ni kovu ambalo hutokana na connection Kati ya mama na mtoto wake akiwa tumboni kukatwa na kuweza kuwatenganisha ili kila mtu awe kivyake japo tunategemeana.

Sasa Adamu na mkewe hawa hawakuwahi kuzaliwa kwa hivyo hawakuunganishwa na hii umbilical cord.

Je walikuwa na Kitovu ( Mungu aliwaumbia) au sisi binadamu tuu ndo tunakitovu?

Kumbuka Adamu na Eva siyo binadamu bali ni Watu.
 
Sijajibu swali lako, I was shocked with your last sentence, eve and Adam sio binadam ni watu😮 so I had to find this;

Binadam linatokana na neno la Kiarabu Ibnu Adam (kiume) kwa kiebrania ni Ben Adam na kama ni Mwanamke ni Bint Adam. Hivyo Binadamu linatokana na kuunganishwa kwa Bin Adam Ikimaanisha mtoto (mwana) wa Adam.

Mtu ni neno linalotokana na lugha ya kibantu Ntu, likimaanisha kiumbe mwenye kujitambua na mwenye uwezo wa kuongea(human being)

Binadamu na Mtu yote yana maana moja tu tofauti itakuja pale mtu atakapotaka kuleta maana zake binafsi.
 
Ila ukiitwa binadamu kuna kuwa na kaheshima fulani hivi!,itwa mtu sasa..😂
Mtu it's something which can cause problems permanently..!
Mbali na hapo kuna ku kubwalisha na kudogolisha!
Ukiambiwa Kuna libinadamu linakuja utalishangaa tu! Ila Sasa uambiwe kuna limtu linakuja hiyo sentensi tu inatosha kusimamisha shughuli zote za mwili kwa sekunde,hata kuliona huwezi jishughulisha unachojua wewe ni kujifungia usikutwe na limtu..😂😂
 
OP, you are overthinking.
Mungu aliumba Binadamu kwa mfano wake, vile tulivyo ni mfano wake na sisi tupo na bellybuttons, maana yake na yeye yupo nayo. Na Adam na Eva pia.
Hell No!

Huyo mungu unayefanana naye ni mungu wako wewe tu...

Mungu wa wote anajitosheleza kiasi cha kutokufanana na si tu binadamu bali hata mabilioni ya species nyingine alizoziumba hapa duniani na kwenye sayari nyingine

Ni kumkosea Mungu pakubwa sana kudhani kwamba tunaweza kujifananisha kivyoyovyote vile na Muumba wetu

Suratul'
Ikhras.....1.....
 
Sijajibu swali lako, I was shocked with your last sentence, eve and Adam sio binadam ni watu😮 so I had to find this;

Binadam linatokana na neno la Kiarabu Ibnu Adam (kiume) kwa kiebrania ni Ben Adam na kama ni Mwanamke ni Bint Adam. Hivyo Binadamu linatokana na kuunganishwa kwa Bin Adam Ikimaanisha mtoto (mwana) wa Adam.

Mtu ni neno linalotokana na lugha ya kibantu Ntu, likimaanisha kiumbe mwenye kujitambua na mwenye uwezo wa kuongea(human being)

Binadamu na Mtu yote yana maana moja tu tofauti itakuja pale mtu atakapotaka kuleta maana zake binafsi.
Ulianza vizuri lakini ukaishia vibaya.

Alichomaanisha ni kwamba kizazi kilichozaliwa na Adam na Hawa ndio wana sifa ya kuitwa bin-adam, kiswahili Wana wa Adam/Wanadam na pia kiasili na kimaumbile ni watu/mtu.

Adam na Hawa hawana sifa ya u-wanadamu kwa kuwa wao waliumbwa moja kwa moja kama watu. Hawakujizaa.
 
Hell No!

Huyo mungu unayefanana naye ni mungu wako wewe tu...

Mungu wa wote anajitosheleza kiasi cha kutokufanana na si tu binadamu bali hata mabilioni ya species nyingine alizoziumba hapa duniani na kwenye sayari nyingine

Ni kumkosea Mungu pakubwa sana kudhani kwamba tunaweza kujifananisha kivyoyovyote vile na Muumba wetu

Suratul'
Ikhras.....1.....
Okay. What does it mean that God created humans in his own image? Ref-Genesis 1:27?
 
Hell No!

Huyo mungu unayefanana naye ni mungu wako wewe tu...

Mungu wa wote anajitosheleza kiasi cha kutokufanana na si tu binadamu bali hata mabilioni ya species nyingine alizoziumba hapa duniani na kwenye sayari nyingine

Ni kumkosea Mungu pakubwa sana kudhani kwamba tunaweza kujifananisha kivyoyovyote vile na Muumba wetu

Suratul'
Ikhras.....1.....
Ni "ikhlas " sio "ikhras " Other wise ahsante kwa tadhkir hio, Allah hana mfano na chochte
 
Na ndio maana kuna majibu mepesi ya kupuuza maswali magumu

"Only God knows better"

"God works in mysterious ways"

"With him everything is possible"

"It was Miracle"

Jichagulie jibu hapo
Hey atheist you have forgotten to write this statement "Anyone who said there is no God then he/she is a fool" but I'm telling you there is no simple answers in difficult questions.

God bless you so that one day you can believe on him again.
 
Back
Top Bottom