"Adamoo" ni kama ilivyokuwa kwa Rambo na "First Blood"

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,854
35,862
Katika "First Blood" John Rambo commando wa Kimarekani anarejea nyumbani na kuanguakia kwenye mikono fedhuli ya polisi isiyo na haja ya kutambua michango ya wengine kwa taifa.

Polisi kwao, wengine wote ni wahalifu isipokuwa wao. Polisi kwao,wengine wote ni wapuuzi isipokuwa wao. Polisi kwao wengine wote ni vidampa isipokuwa wao. Polisi kwao wengine wote hawana maana isipokuwa wao. Nk, nk.

Kwa polisi uchwara, wazalendo ni wao ila si wengine.

First Blood (1982) Movie Summary and Film Synopsis on MHM

"A veteran Green Beret is forced by a cruel Sheriff and his deputies to flee into the mountains and wage an escalating one-man war against his pursuers."

John J. Rambo is a former United States Special Forces soldier who fought in Vietnam and won the Congressional Medal of Honor, but his time in Vietnam still haunts him.

Kisa sawa sawa na yaliyomkuta Adamoo.

Eh Mola wetu ukamsimamie salama mja wako huyu Adam Kasekwa na wenzake.
 
umefanya ulinganisho mkali sana

Inasikitisha sana mkuu.

Katika kisa kile Rambo na wenziwe walipigana Vietnam kwa kile walichoamini kuwapigania wamarekani ili wawe salama zaidi nyumbani.

Rambo alinusurika ki Mungu Mungu kuuwawa Vietnam.

Kurudi nyumbani, wale alioamini kuwapigania wakiwamo polisi wasiokuwa hata na uelewa wa uwanja wa vita unafanana je, wanamkamata bila ya sababu yoyote wala kuzingatia PGO.

Anawavumilia.

Kama vile haitoshi na kama alivyowahi kuwa mateka Vietnam, wanamtesa hadi kumtoa damu mwilini.

Baada ya kuona damu ya kwanza (first blood) Rambo anatambua Kingai na Mahita kweli wamedhamiria hata kumtoa roho!

Tofauti ya Rambo na Adamoo ni kuwa Adamoo kawavumilia kina Kingai hadi leo. Badala ya kuutambua uzalendo wake wanamfungulia kesi. Wanamwita gaidi.

Hiiiiii bagosha!

Eeh Mola wetu ukawalipe watesi wake hawa sawa sawa na matendo yao.

Wala hatuwaombei zaidi.

Eeh Mola wetu.
 
Kama vipi na yeye akipata nafasi alianzishe tu. Ameweza Hamza, halafu ashindwe mtu mwenye CV kubwa ya mapambano kama yake!!

Kwa kweli aliwavumilia sana. Ushahidi kamili kuwa Chadema hawajawahi kuwa na shari kama sehemu ya agenda zao.

Adamoo kawavumilia sana na muda wote. Si kuwa amekosa nafasi ya kuwatia adabu.

Watesi wao, ni waovu kweri kweri!

Mungu ibariki Chadema.

Mungu wabariki Adamoo, Mbowe na watuhumiwa wenzao wa kesi hii ya kubumba.
 
Kama kuna kada ya watu wachafu wa nafsi na wafitini ,waonevu wenye roho mbaya kupitiliza basi namba moja ni "mandata" ,"njagu","mamwela"."wafugabata"

Wakifuatiwa na wanasiasa

Habari hii iwafikie Sirro, Kingai, Muliro na protege wao Chifu Hangaya.

IMG_20210901_201456_008.jpg

Kwa huyo bwana, watamlaumu sana dobi, kaniki rangi yake.
 
Kama kuna kada ya watu wachafu wa nafsi na wafitini ,waonevu wenye roho mbaya kupitiliza basi namba moja ni "mandata" ,"njagu","mamwela"."wafugabata"

Wakifuatiwa na wanasiasa
... halafu hao mbio mbio wanakimbilia kuzuia watu wasiingie mahakamani kujua uchafu wao! Isingekuwa jaji mwenye msimamo mbinu yao ovu ingefanikiwa! Wanajihisi wana akili kuliko "mababu" walioona umuhimu wa mahakama kuwa mahali huru kwa wananchi wote kushuhudia haki ikitendeka! Polisi ni wajinga sana.

Toka mwanzo wa nyakati mahakamani hapajawahi kuwa mahali pa siri! Hata shauri la Bwana Yesu Kristo lilisikilizwa mahali pa uwazi na ushahidi na hukumu vikatolewa kwa uwazi kabisa! Leo hii wajinga wajinga fulani wanatamani kuvuruga mfumo wa utoaji haki kwa sababu wanazijua wao! Tupaze sauti!
 
... halafu hao mbio mbio wanakimbilia kuzuia watu wasiingie mahakamani kujua uchafu wao! Isingekuwa jaji mwenye msimamo mbinu yao ovu ingefanikiwa! Wanajihisi wana akili kuliko walioona umuhimu wa mahakama kuwa mahali huru kwa wananchi wote kushuhudia haki ikitendeka! Polisi ni wajinga sana.

Hata kesho kutakuwa na mzengwe mwingine wa kuingia mahakamani.

Walipo sasa hivi watakuwa "wanatotoa" mpango mwingine mpya ulio batili kuzuia tusijue kitakachoendelea kesho mahakamani.

Inasemekana wamepanga kuona maripota wetu wa zama hizi za kidigitali wanakamatwa na hawaingii mahakamani kesho.

Washindwe na watepete.
 
Hata kesho kutakuwa na mzengwe mwingine wa kuingia mahakamani.

Walipo sasa hivi watakuwa "wanatotoa" mpango mwingine wa mpya kuzuia tusijue kitakachoendelea kesho mahakamani.

Inasemekana wamepanga kuona maripota wetu wa zama hizi za kidigitali wanakamatwa na hawaingii mahakamani kesho.

Washindwe na watepete.
... kabisa Mkuu!
 
Inawezekanaje RPC mzima akakwapua tshs 260000, kisha akaanza kutanua nazo Dar es Salam na mtoto wa IGP mstaafu bila soni haya wala aibu?
Hi inawezekana chini ya uongozi wa hovyo sana
Wanarudi nyumbani mifuko yao imejaa fedha.Wake zao wanawapokea na kuwaona mashujaa.KUMBE NI FEDHA YA DHULUMA NA INAYONUKA DAMU..Inawezekanaje RPC mzima kuchukua fedha za mtuhumiwa bila kufuata utaratibu kama ulivyoainishwa kwenye PGO?Kama RPC anafanya hivi,je aakari wa cheo cha chini asiye na marupurupu kama RPC atafanyaje?Mtazamo wangu juu ya polisi hautabadilika:Wezi,wenye dhuluma,waongo,wazinzi,wabambikaji kesi,waporaji,wasiofata taratibu nk.
 
Aibu sana. Wanathubutu kujiita eti ni jeshi letu.

Hatuhitaji jeshi kama hili.

Hili ni jeshi lao. Jeshi la kina Sirro, Majaliwa na Hangaya.
 
Inawezekanaje RPC mzima akakwapua tshs 260000, kisha akaanza kutanua nazo Dar es Salam na mtoto wa IGP mstaafu bila soni haya wala aibu?
Hi inawezekana chini ya uongozi wa hovyo sana

Tofauti ya majambazi wa kutumia nguvu na hawa iko wapi?
 
Katika "First Blood" John Rambo commando wa Kimarekani anarejea nyumbani na kuanguakia kwenye mikono fedhuli ya polisi isiyo na haja ya kutambua michango ya wengine kwa taifa.

Polisi kwao, wengine wote ni wahalifu isipokuwa wao. Polisi kwao,wengine wote ni wapuuzi isipokuwa wao. Polisi kwao wengine wote ni vidampa isipokuwa wao. Polisi kwao wengine wote hawana maana isipokuwa wao. Nk, nk.

Kwa polisi uchwara, wazalendo ni wao ila si wengine.

First Blood (1982) Movie Summary and Film Synopsis on MHM

"A veteran Green Beret is forced by a cruel Sheriff and his deputies to flee into the mountains and wage an escalating one-man war against his pursuers."

John J. Rambo is a former United States Special Forces soldier who fought in Vietnam and won the Congressional Medal of Honor, but his time in Vietnam still haunts him.

Kisa sawa sawa na yaliyomkuta Adamoo.

Eh Mola wetu ukamsimamie salama mja wako huyu Adam Kasekwa na wenzake.

Kuna haja ya kuchunguza upya baadhi ya semi za wahenga. Ninadhani mazingira na muda umebadilika na hivyo kuna haja ya kuzitathmini baadhi ya semi hizi. Mathalani, msemo kama KAZI NI KAZI, una walakini. Kuna baadhi ya kazi tunafanya tu kwakuwa tumekosa nyingine za kufanya ama kwakuwa lazima ziwepo. Aidha, ubaya wa kazi waweza kuwa si mtu mmojammoja bali mazingira na mfumo mzima wa utendaji kazi unaweza kumfanya hata yule mwema kuwa hafai.

Lakini, hoja hiyo hapo juu, haihalalishi wale tunawaona ama wanaojiona kuwa wapo safi ni wasafi. Kuna mtawala wa Kirumi, (anaweza kuwa Julius Caiser, japo sina hakika sana na hili) ana kisa ambacho tunaweza kukirejea hapa. Baada ya mkewe kupata kashfa ya kuchepuka, paliundwa kikosi kazi maalumu kuchunguza kisa hiki. Matokeo yakawa mke yupo salama, hakuchepuka. Cha kushangaza Caiser bado alimtaliki mkewe. Alipoulizwa kwanini alifanya haya, yeye (Caiser) akajibu, kwa mke wa Caiser hata tuhuma tu kuwa amechepuka ni kosa. Kwahiyo, kada kama polisi, kisa hiki kinawahusu sana. Hii ni kada ambayo haikupaswa kuwa na mawaa. Wajitafakari.
 
Kuna haja ya kuchunguza upya baadhi ya semi za wahenga. Ninadhani mazingira na muda umebadilika na hivyo kuna haja ya kuzitathmini baadhi ya semi hizi. Mathalani, msemo kama KAZI NI KAZI, una walakini. Kuna baadhi ya kazi tunafanya tu kwakuwa tumekosa nyingine za kufanya ama kwakuwa lazima ziwepo. Aidha, ubaya wa kazi waweza kuwa si mtu mmojammoja bali mazingira na mfumo mzima wa utendaji kazi unaweza kumfanya hata yule mwema kuwa hafai.

Lakini, hoja hiyo hapo juu, hakuwafanyi wale tunawaona ama wanaojiona kuwa wapo safi ni wasafi. Kuna mtawala wa Kirumi, (anaweza kuwa Julius Caiser, japo sina hakika sana na hili) ana kisa ambacho tunaweza kukirejea hapa. Baada ya mkewe kupata kashfa ya kuchepuka, paliundwa kikosi kazi maalumu kuchunguza kisa hiki. Matokeo yakawa mke yupo salama, hakuchepuka. Cha kushangaza Caiser bado alimtaliki mkewe. Alipoulizwa kwanini alifanya haya, yeye (Caiser) akajibu, kwa mke mke wa Caiser hata tuhuma tu kuwa amechepuka ni kosa. Kwahiyo, kada kama polisi, kisa hiki kinawahusu sana. Hii ni kada ambayo haikupaswa kuwa na mawaa.

Hata kwa katiba ya Kenya mtumishi wa umma ukituhumiwa tu, unapaswa kuwa pembeni wakati uchunguzi ukiendelea.

Wa kwetu hawa wanawajibika wapi?

Chief Hangaya anawalilia hali akiwaomba wasiwapige sana watuhumiwa. Chief Hangaya hakuwahi kusikia na wala hajui kitu PGO.

Mpango anasema alipoachiwa nchi aliogopa mno.

Tuna nchi ya ajabu kidogo.

Tuliowapa dhamana hawajitambui. Waliotoa dhamana hawajitambui.

Tunakwenda lukumba lukumba!
 
kwa matendo alimfanyia Adamoo basi Kingai ndiye gaidi na Hamza alitakiwa kimshughulikia

Hilo halina ubishi, 100% credit kwao wakufunzi wa makomandoo wa ukweli waliowiva hawa.

Pamoja na kuonelewa, wakiwa na uwezo wakuwapa kisago cha mbwa mwizi Kingai, Mahita & Co. Ltd, walionyesha weledi na uvumilivu wa hali ya juu katika kipindi chote tangia kutekwa, kuteswa na hadi leo.

Bila aibu W.S alipenda pamoja na haya:

IMG_20210925_211919_345.jpg

kunyimwa chakula, vipigo, kuchomwa chomwa na bisibisi, kutishiwa kifo, nk chini ya wanaojiita walinzi wa raia na mali zao, Adamoo alipaswa kuona ni sawa eti kwa sababu ni komandoo.

Hiiiiii bagosha!

Kama taifa tumewaangusha sana wazalendo hawa.
 
Back
Top Bottom