Adam na Eva

chaUkucha

JF-Expert Member
May 28, 2012
3,382
1,212
Uwa nawaza tu kwamba kama Adam na Eva wangekuwa wachina dhambi isingekuwepo maana badala ya kula lile tunda wangemla na yule nyoka.
 
Mkuu lile tunda sio chungwa wala embe ni PAPUCHI, sidhani hata huyo mchina kama angehangaika na nyoka aiache papuchi iliyonona
 
Back
Top Bottom