KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,528 Reaction score 89,053 Jan 12, 2021 #1 Your browser is not able to display this video. Sijui jamaa alikosea wapi!! But ahsante kwa huyo mwenye nyeusi kwa kufanya wepesi baharia akachoropoka kwenye kisago cha akina dada katili..π Dada zetu na nyie kuweni na huruma..π
Your browser is not able to display this video. Sijui jamaa alikosea wapi!! But ahsante kwa huyo mwenye nyeusi kwa kufanya wepesi baharia akachoropoka kwenye kisago cha akina dada katili..π Dada zetu na nyie kuweni na huruma..π
Doctizo Mtengwa JF-Expert Member Joined Feb 16, 2019 Posts 844 Reaction score 1,547 Jan 12, 2021 #2 Rasta nae si habaaπͺ
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,528 Reaction score 89,053 Jan 12, 2021 Thread starter #3 Doctizo Mtengwa said: Rasta nae si habaaπͺ Click to expand... Huyo ndo alikuwa nunda wao ila mi nimekapenda hako kalikovalia nyeusi zote kanapiga kiuoga na kamewezesha jamaa ale Kona..π
Doctizo Mtengwa said: Rasta nae si habaaπͺ Click to expand... Huyo ndo alikuwa nunda wao ila mi nimekapenda hako kalikovalia nyeusi zote kanapiga kiuoga na kamewezesha jamaa ale Kona..π
Mromboo JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 3,072 Reaction score 6,909 Jan 13, 2021 #4 KENZY said: Huyo ndo alikuwa nunda wao ila mi nimekapenda hako kalikovalia nyeusi zote kanapiga kiuoga na kamewezesha jamaa ale Kona..π Click to expand... Nahisi kalikuwa kwenye mission za kumuokoa jamaa. Kamempa ya pua akasogea kidogo jamaa akapata vacum ya kutoroka.
KENZY said: Huyo ndo alikuwa nunda wao ila mi nimekapenda hako kalikovalia nyeusi zote kanapiga kiuoga na kamewezesha jamaa ale Kona..π Click to expand... Nahisi kalikuwa kwenye mission za kumuokoa jamaa. Kamempa ya pua akasogea kidogo jamaa akapata vacum ya kutoroka.
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,528 Reaction score 89,053 Jan 13, 2021 Thread starter #5 Mromboo said: Nahisi kalikuwa kwenye mission za kumuokoa jamaa. Kamempa ya pua akasogea kidogo jamaa akapata vacum ya kutoroka. Click to expand... Kanafaa sana haka..π
Mromboo said: Nahisi kalikuwa kwenye mission za kumuokoa jamaa. Kamempa ya pua akasogea kidogo jamaa akapata vacum ya kutoroka. Click to expand... Kanafaa sana haka..π
X-Agent JF-Expert Member Joined Jul 18, 2014 Posts 8,891 Reaction score 16,846 Jan 13, 2021 #6 Duuh....
Volatility JF-Expert Member Joined Aug 22, 2018 Posts 3,935 Reaction score 7,531 Jan 26, 2021 #7 yaani kamtu kalikokuwa kanataka kuua kabisa jamaa, ndio mnasema kamesaidia???
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,528 Reaction score 89,053 Apr 10, 2021 Thread starter #8 Volatility said: yaani kamtu kalikokuwa kanataka kuua kabisa jamaa, ndio mnasema kamesaidia??? Click to expand... Hujui kuangalia movement ndugu walikuwa wamemzunguka angalia kalivyomvuta mpk jamaa akapata uwazi..
Volatility said: yaani kamtu kalikokuwa kanataka kuua kabisa jamaa, ndio mnasema kamesaidia??? Click to expand... Hujui kuangalia movement ndugu walikuwa wamemzunguka angalia kalivyomvuta mpk jamaa akapata uwazi..
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,923 Reaction score 95,758 Apr 10, 2021 #9 Kuna mmoja anapiga buti kama mwanaume.
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 50,087 Reaction score 75,519 Apr 12, 2021 #10 KENZY said: View attachment 1675798 Sijui jamaa alikosea wapi!! But ahsante kwa huyo mwenye nyeusi kwa kufanya wepesi baharia akachoropoka kwenye kisago cha akina dada katili..[emoji23] Dada zetu na nyie kuweni na huruma..[emoji12] Click to expand... .
KENZY said: View attachment 1675798 Sijui jamaa alikosea wapi!! But ahsante kwa huyo mwenye nyeusi kwa kufanya wepesi baharia akachoropoka kwenye kisago cha akina dada katili..[emoji23] Dada zetu na nyie kuweni na huruma..[emoji12] Click to expand... .
MK254 JF-Expert Member Joined May 11, 2013 Posts 33,570 Reaction score 53,584 Apr 13, 2021 #11 Dah kuna huyo kamzaba kofi la kidume yaani bana hapo balaa.... Jamaa kosa lake nini au kawatia wote mimba na kuwageuzia kibao....
Dah kuna huyo kamzaba kofi la kidume yaani bana hapo balaa.... Jamaa kosa lake nini au kawatia wote mimba na kuwageuzia kibao....