Adakwa na lita 60 za mkojo ndani

Adakwa na lita 60 za mkojo ndani

Ni mbolea nzuri kabisa ukichanganya na maji,ukiweka mkavu vegetables zinaungua,...nimeishi sana kota za gereza...wafungwa asubuhi asubuhi kumwaga kojo kwa mboga...na kuomba karatasi za kusokotea bangi...wanatoa wapi sijui
 
Ni mbolea nzuri kabisa ukichanganya na maji,ukiweka mkavu vegetables zinaungua,...nimeishi sana kota za gereza...wafungwa asubuhi asubuhi kumwaga kojo kwa mboga...na kuomba karatasi za kusokotea bangi...wanatoa wapi sijui
Mwamba anaishi na lita 60 sijui harufu hasikii
 
Kwa Nini wamdake mtu aliyeamua kudunduliza mkojo wake na kuuweka akiba? Huku ni kuingilia privacy za watu. Angekuwa ameiba mikojo ya watu akaenda kuhifadhi hapo ni halali adakwe.
Waende kudaka mafisadi bana
 
Mwamba anaishi na lita 60 sijui harufu hasikii
Kashazoea...ingia madarasa ya wanafunzi pre-primary,la kwanza na la pili...utajua kuwa harufu huzoeleka....walimu hawanashida,wanavuta pumzi tu
 
Huo mkoja kajaza hizo ni dawa au ni ukichaa tu?
 
Kimario wa arusha amedakwa na lita 60 za mkojo ndani adai amekojoa kwa miezi sita😁😁
Wadau au mkojo ni dili mbona hamseme 🤣🤣
Aliyemkamata ni nani na amemkamata Kwa kosa Gani ? Na je baada ya kumkamata wamempeleka wapi?
 
Me najiuliza tu, alikuwa anafunguje kizibo cha dumu ili aongeze lita nyengine kabla hajazimia.!
 
Mkojo uliolala una urea nyingi Sana,

Urea ni mbolea na kirutubisho muhimu sn kwa mimea almost yote duniani, hasa mbogamboga

Zamani sana, Kila kukikucha tulimwagia mkojo uliolala kwenye Miche ya mihogo kabla ya kuipanda.

Siku ya kuvuna,
Unavuna muhogo mkubwa haswa
 
Hao wakina Kimario wana shida gani? Kuna Kimario mwingine huko huko Arusha naye alikutwa na kinyesi na mkojo ndani miezi kama sita iliyopita basi tu watu huwa hamfuatilii mambo.

Hao wakina Kimario wote Warombo, wote wanaishi Arusha, wote vijana, wote hawana wake, wote wanywa pombe na mwisho wote wamekutwa na mikojo na vinyesi ndani. Kuna haja ya kufanyiwa utafiti ili ijulikane tatitzo nini na waliwezaje kuishi na hizo harufu ndani na wakawa wanapata usingizi kabisa.

Hii dunia ina mambo ya ajabu sana mkojo wa mtoto tu kama nguo hazijafuliwa vizuri unatoa harufu ya kufa mtu sasa huo mkojo na mavi ya mtu mzima tena mnywaji wa pombe sipati picha harufu yake. Mtaani tu kama kuna baa likija lile gari la kunyonya maji machafu mtaa mzima unanuka sasa hao jamaa waliwezaje kukaa na harufu muda wote huo.

Ni mtizamo tu.
 
Back
Top Bottom