Mkuu, ulikaa miaka mingapi vile kijiweni baada kumaliza shahada ya kwanza isiyo ya ualimu? Kila la heri piga msuli, baada ya muda mfupi mkuu ukapige chaki.
Mkuu, ulikaa miaka mingapi vile kijiweni baada kumaliza shahada ya kwanza isiyo ya ualimu? Kila la heri piga msuli, baada ya muda mfupi mkuu ukapige chaki.
Kapige msuli bro, kuna jamaa yangu tangu 2011 yupo mtaani.. Hajawah kushika hata laki4. Wenzake wote waliokuwa education wana viwanja wanajenga na wanafurahia maisha. Game popote pale linawezekana ukiji2ma

Funzo analo labda atupe short story na wengne wajifunze kwamba alisomea nn na kakaa kitaa mda gan......mkiwa lecture mnajiona wote sawa kumbe wenzio wametumwa kuchukua degree waje wazifanyie kaz
Young Ben mi nakushauri ukachukue diploma ya Madini chuo cha Madini Dodoma pale ni marketable sana au uende NIT ukasomee mambo ya weigh bridges nazo ni marketable sana tu,huko unakotaka kwenda siyo,Fanya hivo,usiangalie ukubwa Wa elimu angalia maslahi yatokanayo na elimu hiyo kwa muda mwafaka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.