Ada ya Post Graduate ya Education

Young Ben

Member
Jan 29, 2014
41
26
Habari zenu?

Samahani kwa yeyote anaejua kiasi cha ada kwa postgraduate ya education na muda wa kuanza kwa kozi katika chuo chochote hapa Tanzania anisaidie.

Ahsanteni!
 

Kobaba

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
491
336
Mkuu, ulikaa miaka mingapi vile kijiweni baada kumaliza shahada ya kwanza isiyo ya ualimu? Kila la heri piga msuli, baada ya muda mfupi mkuu ukapige chaki.
 

Deogratius n

JF-Expert Member
Jan 10, 2015
1,193
252
Kapige msuli bro, kuna jamaa yangu tangu 2011 yupo mtaani.. Hajawah kushika hata laki4. Wenzake wote waliokuwa education wana viwanja wanajenga na wanafurahia maisha. Game popote pale linawezekana ukiji2ma
 

Young Ben

Member
Jan 29, 2014
41
26
Kapige msuli bro, kuna jamaa yangu tangu 2011 yupo mtaani.. Hajawah kushika hata laki4. Wenzake wote waliokuwa education wana viwanja wanajenga na wanafurahia maisha. Game popote pale linawezekana ukiji2ma
nimekuelewa sn mkuu!
 

tO1

Senior Member
May 7, 2015
104
8
Funzo analo labda atupe short story na wengne wajifunze kwamba alisomea nn na kakaa kitaa mda gan......mkiwa lecture mnajiona wote sawa kumbe wenzio wametumwa kuchukua degree waje wazifanyie kaz
 

365

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
1,374
1,445
Young Ben mi nakushauri ukachukue diploma ya Madini chuo cha Madini Dodoma pale ni marketable sana au uende NIT ukasomee mambo ya weigh bridges nazo ni marketable sana tu,huko unakotaka kwenda siyo,Fanya hivo,usiangalie ukubwa Wa elimu angalia maslahi yatokanayo na elimu hiyo kwa muda mwafaka
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom