Ada ya post graduate diploma, Chuo cha Diplomasia Kurasini

Ada ya post graduate diploma, Chuo cha Diplomasia Kurasini

Hivi hicho chuo cha Kurasini ni mahala pazuri kusoma? Nina ndugu yangu ana masters ya Business Administration (MBA) anataka kwenda kusoma hapo Post graduate diploma in Economic Diplomacy, wazoefu naombeni ushauri wenu

Akasome tu mkuu inaitwa PGD-ED.Wachwa nikwambie shule yake ni ngumu sana na kuwa kwako na masters isikupe jeuri kuwa utafaulu kirahisi.Disco nje nje na huwa wanafail wengi sana.Jitume sana kuelewa mambo na siyo kukrem.Wenye masters wanafail haswa masup kibao
 
Back
Top Bottom