Ada ya post graduate diploma, Chuo cha Diplomasia Kurasini

HARVESTER

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2013
Posts
291
Reaction score
248
Wakuu nina interest ya kusoma post graduate diploma ya uchumi pale chuo cha diplomasia kurasini nina masters ya biashara, ninaomba kwa anaefahamu ada kwa kozi ni shilingi ngapi anisaidie kwani kwenye mtandao wa chuo hawajaweka ada, thnx
 
tembelea chuoni kama upo dar upate jibu kamili na vitu vingine muhimu vinavohitajika hapo.
 
Kuna rafiki yangu kasoma postgraduate in economic diplomacy anasema almost mil 3 na nusu.ila unatakiwa uwe kama na 1 mil ya kuanzia.na pesa nyingine unaruhusiwa kulipa hata baada ya kumaliza.ila ili uwe na uhakika nenda chuoni
 
mkuu HARVESTER ulienda kusoma pale kurasini? unazungumziaje ufundishaji wao? ulijuta kwenda kusoma au ulifurahia?
swala la mshushu je unalizungumziaje? Samahani kwa maswali mengi
 
Last edited by a moderator:
Hawa wanatoa degree ya BA in International Relations and Diplomacy lakini sijafanikiwa kuona prospectus yao ili nijue ndani kuna nini. Mwenye taarifa tafadhali nifahamishe-hii degree yao je inaendana na economic diplomacy au ukitaka economic diplomacy unatakiwa upite njia gani kwa vyuo vyetu hapa Tanzania?
 
Ukitaka kusoma PGD Economic Diplomacy uwe na shahada yoyote ya kwanza. Nilihitimu pale 2012 PGD Economic Diplomacy
 
Nina kijana anataka hiyo economic diplomacy issue ni kuwa akasome economics kwanza ndio afanye hiyo diploma au asome international relations halafu asome hiyo diploma? Je degree yao ya IR ina uchumi wakutosha kuelekea hiyo diploma?
 
Hawa wanatoa degree ya BA in International Relations and Diplomacy lakini sijafanikiwa kuona prospectus yao ili nijue ndani kuna nini. Mwenye taarifa tafadhali nifahamishe-hii degree yao je inaendana na economic diplomacy au ukitaka economic diplomacy unatakiwa upite njia gani kwa vyuo vyetu hapa Tanzania?
mkuu hiki chuo kinanitia ukakasi kwanini kisiwekwe tcu? na watu wa aply kama kawaida na kupewa mkopo?
 
Nina kijana anataka hiyo economic diplomacy issue ni kuwa akasome economics kwanza ndio afanye hiyo diploma au asome international relations halafu asome hiyo diploma? Je degree yao ya IR ina uchumi wakutosha kuelekea hiyo diploma?
Sio lazima asome economics. Sifa kubwa anayotakiwa kuwa nayo ni first degree yoyote ile. Pale hayajaanza kutoa shahada za economic diplomacy. Ukisema uchumi wa kutosha unamaanisha kitu gani hasa?
 
Nitangulize shukurani. Nilikuwa najiuliza kama ukichukua BA ya IR and Diplomacy wanayotoa wao (CFR) je inacover economics za kutosha (microeconomic and macroeconomic theories, statistics and econometrics, international economics etc) kukuwezesha kusoma PGDiploma in Economic Diplomacy. Yeye anainterest na BA Economics au BA ya hapo centre ndio maana nataka kujua ipi itampa matayarisho mazuri zaidi (amemaliza EGM).
 
Tell him to pursue his life long dream. Naamini mpaka anaamua kusoma EGM he had an ambition, muulize ndoto yake ilikuwa ni nini and assist him to that effect. Else, kumchagulia what was not his dream will make wander in the wilderness of useless education.
Kama anataka kuwa economist CFR hapatamfanya kuwa hivyo. But kama anataka kuwa knowledgeable in diplomatic and international affairs, then CFR is the best place for him
 
Thanks-anataka achanganye economics na economic diplomacy.
 
Back
Top Bottom