hatedthemost
JF-Expert Member
- Oct 20, 2021
- 470
- 328
Habarini wana JF, jamani kuna chuo kipya cha Mwanza university nimeona ada ni milioni 8 kwa local citizens
. Hivi haiwezekani serikali kuregulate ada kwa vyuo vya afya?
Maana tusio na uwezo tunakoma sana.

. Hivi haiwezekani serikali kuregulate ada kwa vyuo vya afya?Maana tusio na uwezo tunakoma sana.
