kinyamkela mahaba
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 1,180
- 1,599
Feza schools campus gani Dar, Dodoma au zanzibar funguka ili upewe mawasilianoHabari,nina mwanangu mdogo nataka nimuanzishe shule(kindergatten) at Feza schools mwakani.
Naomba kujulishwa ada zake, na pia ni day au boarding?
Napambana kutafuta hela walau mwanangu afurahi. Msaada tafadhalini,kwa hali hii ya sasa hela kuwa ngumu, nilipenda kuufahamu utaratibu mapema iwezekanavyo.
Ahsanteni sana
Ni wazo zuri hili piaHudhani ungepata maelekezo ya kina zaidi ungeenda hapo shuleni. Ama kwa kuanzia ungetembelea hata tovuti yao.
DarFeza schools campus gani Dar, Dodoma au zanzibar funguka ili upewe mawasiliano
Mil 7 na michango yote mkuuHabari,nina mwanangu mdogo nataka nimuanzishe shule(kindergatten) at Feza schools mwakani.
Naomba kujulishwa ada zake, na pia ni day au boarding?
Napambana kutafuta hela walau mwanangu afurahi. Msaada tafadhalini,kwa hali hii ya sasa hela kuwa ngumu, nilipenda kuufahamu utaratibu mapema iwezekanavyo.
Ahsanteni sana
[emoji23][emoji23][emoji23] si Bora aje uku twibhokiMil 7 na michango yote mkuu
Karibu feza hutojuta kabisa
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app