Uko sahihi mkuu, af anaesema ufaulu mdogo anakichaa cha uzazi mfano mimi nmesoma PCB na matokeo yang phy~D, Chem~B+, bios~B nko st joseph dar, na nmegundua wanaoropoka ndo wanaufaulu duni albahatisha so anataka aheshmike kwa maneno, tatzo nafas haztosh af wengne walichagua hvi vyuo bila kujua matatzo yake, wakiamin vya private ni bora,