duuu.taassi inayoratibu usajili wa cyuo inatakiwa iangalie angalau wapunguze atleast m2.
hao wanaosoma education wanatozwa gharama kubwa ya kuongezea tuition fee na ada kwa vyuo karibu vyote vya private ni 1,500,000 huo uongozi wa st Joseph unadai unaongeza na 320,000 kwa ajili ya kuwapa wanafunzi tablets ndio maana ikafika 1,820,000 japo tablet wanazozitoa haziendani na gharama hiyo ya 320,000 nyingi zinalalamikiwa kuwa zinakuja zikiwa mbovu hasa speaker na ukiangalia hazina thamani ya bei hiyo.Hivyo ni njia mojawapo ya kunyonya hela za watanzania na kwa upande mwingine elimu wanayoitoa haina ubora huo wa kulipa kiasi hicho cha fedha.Na hiyo hela ya mitihani 75,000 kwa muhula ndio majanga kabisaaa kwa hiyo kwa mwaka ni 150,000.Yan mtu anayesona MD Muhas ana nafuu kuliko anayesoma education st joseph.
Ni marks zakee ndogo zilizompelekaa usiilaumu tcu achaujinga we una 3.15 unataka uende udsm ichochuo zoazoa mwache asome alafuu huo mkopo ashasaidiwaa tena asilimia nzurii tuu nawaa Kampala university wasemajee hahahahaha

Unajua bhana 2kae 2fikilie cmpo2 hv..mtu anasoma labda feza pale mwingine mirambo kwamba anayesoma feza ni mtu kutoka familia yenye uwezo tena mkubwa2 wa feza atapiga AAA mimi nliyesoma mirambo ntaambulia CDD kutokana na changamoto milioni..twende kwenye fakati atachaguliwa first wa feza labda petrolium eng, mkopo 100% mm wa mirambo fakati majanga chuo majanga ada kubwa unaendelea kuwachangia walionacho...nini! tabaka..tcu, heslb kaeni mfikilie kuhusu hili
Ndugu ukitaka unafuu wa ada unatakiwa kupasua sana ili uwe na nafasi nzuri ya kuingia vyuo vya serikali kama UDSM, UDOM, MZUMBE, SUA n.k. ambapo ushindani wa kuingia kuchukua fani kama za Geology, Petroleum and Gas, Civil huwa zinagombaniwa sana na wale waliofaulu sana ndo wanapata nafasi. mfano kwa programme ya Bachelor of Science in Petroleum Engineering ya UDSM - UD060 kwenye guidebook ya TCU, capacity yake ni wanafunzi 20 tu ila wanaoiomba kwa mwaka huwa ni wengi sana zaidi ya 5,000 hadi 10,000. kwa hiyo mwishoni wanaopata nafasi ni wale tu wenye points za juu sana mfano A=5, B+=4, B=3, C=2, D= 1 na E=0.5 na F=0 kwa Grading system mpya ya BRN. ila kwa wale wa Grading za zamani A=5, B=4, C=3, D=2, E= 1 na S=0.5 na F=0. utakuta mfano mtu ana PCM = P=A, C=A, M=B+ huyu applicant ana uwezo mkubwa sana wa kupata nafasi ya hii programme ya Petroleum au Civil ya UDSM au chuo chochote cha Serikali. ila ukipata ufaulu hafifu mfano PCM una P=D, C=D, M=C hapa nafasi yako ni finyu sana ukishindanishwa na wenzako kwa hiyo utakosa nafasi kwenye vyuo vya serikali ila kwa kuwa ndoto yako ni kuwa Engineer au Daktaria utajikuta nafasi zinazobakia ni kwenye vyuo vya binafsi kama St. Joseph na KIU zenye ada kubwa sana. NIwatie shime wadogo zetu wasome sana ili wapate nafasi kwenye vyuo vya serikali.