Ada ndefu za shule balaa sijapata kuona

Ada ndefu za shule balaa sijapata kuona

Yaani mtoa mada ulitaka ukawashitaki IST kisa ada zao......aisee what a joke...
 
5. Ondoa, hizo sio shule za wanyonge, wanyonge wanasoma bure.
Hizo ni shule za watoto wa mabwenyenye, wanakula vizuri sana tena wakitakacho na walimu wao ni bora zaidi na sio zao la st. KAYUMBA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijajua unacho lalamika ni nini hasa wewe uwezi afford wapo wanao afford ingekuwa unalazimishwa ndio ungekuwa na haki ya kulialia...Dunia inamachaguo mengi chagua chenye uwezo wako umaskini wako ndio zigo lako MO ana Billion 200+ iyo pesa sasa kwake, Bakhresa, Late mengi, Mafuruki, Shirima, Diplomats, Investors, CEOs nk wote hao hizo ndio shule zao.

Range Rover bei na watu wananunua, iweje ulalamike wewe nunua IST kuna familia ada ya 400,000/= wanakaa vikao vya michango na kulaumiana.

Spend what you can afford.

Sent using Jamii Forums mobile app
Utajiri wa MO ni zaid ya trillion 4(billion 4000)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinachokushangaza nini kila kitu cha hali ya chini kina mbadala wake wa hali ya juu,hii theory ina apply kwenye mambo mengi tu magari,simu,nguo,nyumba,shule,nk
 
Mtanzania soma bure tu kwenye shule zetu za awamu ya tano
 
Back
Top Bottom