Ada na malipo Ualimu Balaaaa

JakaRoho

Member
Jun 7, 2013
40
6
Nimechaguliwa kujiunga na mafunzo ya Ualimu. Nimeshngazwa na Mchanganua wa Malipo. Malipo ya Ziada yanazidi hata Ada ya Chuo na Serikali ipo tuu Macho Kodooo...Angalia Mwenyewe
b. ADA
Ada ni Tshs. 200,000 kwa mwaka (Inaweza Kulipwa Kwa Awamu
Mbili, Kila Awamu Tshs. 100,000)
c. MICHANGO
i. Tehama Tshs. 10,000 kwa mwaka.
ii. BTP Tshs. 13,000 kwa mwaka.
iii. Ukarabati Tshs. 10,000 kwa mwaka.
iv. Usajili Tshs. 5,000 mwaka wa kwanza tu.
v. Kitambulisho Tshs. 5,000 mwaka wa kwanza tu.
vi. Godoro Tshs. 10,000 kwa mwaka.
vii. Serikali Ya Wanachuo Tshs. 5,000 kwa mwaka.
viii. Mahafali Tshs. 5,000 kwa mwaka.
ix. Ujenzi wa Bweni Tshs. 10,000 kwa mwaka.
x. Ulinzi Tshs. 13,000 kwa mwaka.
xi. Upishi Tshs. 13,000 kwa mwaka.
xii. Matibabu Tshs. 10,000 kwa mwaka.
xiii. Taaluma kanda Tshs. 20,000 mwaka wa kwanza tu.
xiv. Michezo Tshs. 10,000 kwa mwaka.
xv. Kukodi joho Tshs. 10,000 mwaka wa pili tu.
 
MICHANGO​
Michango mingine ifuatayo iwekwe kwenye​
A/C 51403500048 jina la akaunti ni KASULU T.C. PROJECT, Benki ya
NMB​
tawi la Kasulu. Pay-in slip yake uje nayo ikiwa imeandikwa jina lako kamili .
1. Fedha ya kitambulisho cha Chuo Tshs 5,000/=2. Fedha ya ukarabati Tshs 20,000/=(Bodi)3. Fedha ya mahafali(Graduation) Tshs 5,000/=5. Fedha ya ICT Tshs. 10,000/=6. Fedha ya Ujenzi wa shule ya sekondari ya mazoezi Tshs 20,000/=(Bodi)7. Fedha ya mchango wa serikali ya wanachuo Tshs 5,000/=kwa mwaka.8. Fedha ya godoro la kulalia Tshs 10,000/= kwa mwaka.9. Fedha ya mafunzo kwa vitendo kwa mwaka Tshs 13,000/=​
JOINING INSTRUCTIONS 2013 / 2014​
2
10. Fedha za michezo 10,000 kwa mwaka11. kukodi Joho– sh 10,000/=12. Mafuta ya Genereta-shs 10,000/= kwa mwaka13. Fedha ya Taaluma– 20,000/= kwa mwaka14. Fedha ya Usajili sh 5,000/=15​
. Matengenezo ya Umeme sh. 15,000/= (Bodi)
16. Mchango wa Ulinzi shs 10,000/=kwa mwaka.(Bodi)


jumla ya michango in 160,000/=
 
Hicho ni chuo cha serikali? Nijuavyo hupaswi kuchangia gharama za wapishi wala ujenzi wa bweni kwa serikali kwani vitakuwa na bajeti yake..
 
Kwa wale wanaojiunga ualimu huwa wanapewa privilege, sasa hii ikoje?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
kulipia mpishi na matengenezo ya umeme hata mlinzi!!!, serikali mchango wake ni nini kama unachangia hata ujenzi wa bweni. wangeficha tuu yote hayo waseme ada na mengineyo
 
Selkali ya ccm hiko likzo kama baraza la madiwan linatenga bajeti kwa ajiri ya ukalabati wa vyuo na shule ,then wanawambia wanafunzi kuchangia hii inaonyesha jinsi selkali ya ccm ilivyo ya kifisadi na wakuu wa chuo wanatumia mwanya huo kuwakamua wanafunzi pamoja na wazazi wao, mfano chuo cha kasulu kuna michango kibao ya ukarabati pamoja na umeme, selkali hiko wap/kama inaacha majukumu yote haya kwa utawala wa chuo?hivyo ni vyuo vya selkali au ni private na selkali imejitoa?
 
Kuna michango mingine hapo inpaswa itoke, ukizingatia wazazi wamewasomesha kwa ada ya 20,00/- huko seco wazazi wanatakiwa waanze kupumua kidogo sio kuzidi kulundikiwa mzigo vinginevyo vicious poverty cycle
 
Mbona hiyo afadhali ngoja ntawawekea ya vikindu yani hata ufagizi wa mazingira unalipiwa wakati wanaofanya huo usafi ni wanachuo wenyewe
 
Wakuu wa vyuo ndo wanapata hela ya kununua magari yao na kula bata na familia zao kupitia hiyo michango ,pesa ya serikali ni hiyo ada tu laki2!!nyingine ni janjajanja tu ya wakuu wa vyuo ndio maana michango inatofautiana chuo kimoja na kingine
 
Back
Top Bottom