Ada kulipwa ktk dolla. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ada kulipwa ktk dolla.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kchibo, Oct 21, 2011.

 1. K

  Kchibo Member

  #1
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 72
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  C k2 kpya sana miongon mwenu wana jf lakini me napata mashaka kidogo katka hili suala la ulpaji wa ada na michango mingine katka baadh ya vyuo hapa tz interms of foreign currencies. Hli linatendeka wakat tukshuhudia sh yetu ikiporomoka thaman yake, hii itasababsha kuwe na mfumuko wa gharama za masomo ktk vyuo ivyo. Nadhan wakat umefka vyuo hivi vianze kutoza gharama zake ktk shilingi ya ktz, tumeshuhudia juz wanafunzi wa IMTU wakpnga suala hili na wik ijayo nasikia wanafunzi wa KIU wanampango wa kufanya mgomo kupnga suala hlo.
   
 2. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  taja hivyo vyuo ni vipi??maana mie nakijua cha TANAPA pale mweka ndicho wanalipa kwa dolla
   
 3. K

  Kchibo Member

  #3
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 72
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Mbona nimevitaja hapo mfano IMTU na Kampala international(KIU)
   
Loading...