Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,602
- 22,707
Kwa hiyo wazazi/ walezi nasubiri wasilipe?Alisema shule zitakazoteuliwa kuanza kutumika kwa ada hizo zitatangazwa pia na wizara hiyo baada ya kukutana na wamiliki wa shule hizo na kufanya nao mazungumzo.
Hamna kitu hapo, kwanini iwe majaribio na kwanini iwe kwa baadhi ya shule?
.....nilichokiona kuna shule zina sauti kuliko serikali....
Kwa mtazamo wangu sidhani kama hili swala la karo elekezi linawezekana......kwani tution fee itakuwa ndogo.....ila ukiangalia gharama za maradhi na chakula sidhani kama hapo kunaweza kuwa na mjadala!!!!
Katika shule zilizo bora....mtoto anakula milo minne!! Anapata matunda,maziwa nk.....
Maradhi mtoto analala chumba kimoja watoto wawili.....bafu zuri na choo cha maji safi.......kwa mazingira kama haya ni bora kumuambia mwenye shule afunge shule afanye biashara nyingine........kinyume na hapo naamini haitawezekana.
kama mfumo hapa kazi tu wanaenda kujaribu nini? kinachotakiwa ni amri hawataki majengo wakafugie kuku.Eti MAJARIBIO....
Majaribiooooo.... 
Watoe Amri tu, hakuna majaribio...!!
Priveta schools fees... eg
Ada kwa day... Max. 500,000
Boarding, Max... 1,500,000
Hakuna zaidi ya hapo... hakuna michango yoyote... shule itakayo changisha kufungiwa haraka sana
..
Serikali inafanya majaribio kwani ni ADA NI DAWA..? 
Nadhani majaribio ni CHANJO!Eti MAJARIBIO....
Majaribiooooo.... 
Watoe Amri tu, hakuna majaribio...!!
Priveta schools fees... eg
Ada kwa day... Max. 500,000
Boarding, Max... 1,500,000
Hakuna zaidi ya hapo... hakuna michango yoyote... shule itakayo changisha kufungiwa haraka sana
..
Serikali inafanya majaribio kwani ni ADA NI DAWA..? 
Yaani kabisaaaaa.... ETI SHULE ZA SERIKALI ZOTE ELIMU BURE TOKA JANUARY 2016, LAKINI ZA BINAFSI BAADHI ADA ELEKEZI NA BAADHI ZITAACHWA NA MIADA YAO MIKUBWA..... Ipo namnaHamna kitu hapo, kwanini iwe majaribio na kwanini iwe kwa baadhi ya shule?
.....nilichokiona kuna shule zina sauti kuliko serikali....
Hamna kitu hapo, kwanini iwe majaribio na kwanini iwe kwa baadhi ya shule?
.....nilichokiona kuna shule zina sauti kuliko serikali....
Gharama za maradhi???labda alimaanisha malazi au gharama za matibabu..Kwa mtazamo wangu sidhani kama hili swala la karo elekezi linawezekana......kwani tution fee itakuwa ndogo.....ila ukiangalia gharama za maradhi na chakula sidhani kama hapo kunaweza kuwa na mjadala!!!!