Acturial science vs Accounting

kaxoghur7

Member
Joined
May 27, 2016
Posts
60
Reaction score
20
Wana Jamvi, ningependa kujua kama mwanafunzi aliyesoma ECA, au Diploma in Accouting (GPA 4.7)..kama ataweza kuingia Acturial science UDZM... Kama haiwezekana... Bcom in accounting UDZM.. Bsc A & F ARDHI na BAF.. Accounting ipi ni bora, kati ya hizo tatu...
 
oky ,udsm probalibility kweny actuarial ni ndogo, EGM ndio sana, pcm ...... lakini omba pia unaweza chukuliwa kama competition sio kubwa ,Bcom acc,baf unaweza tu ,
 
actuarial science huwez soma km hujapga maths advance
 
We hujajishtukia kama huna vigezo? Jiongeze watakula kichwa mwaka wa kwanza .
Kaka huweki vitu wazi... Unatumia misemo sana.... Kama kula vichwa.. Kama unatoa ushauri.. Toa ushauri...
 
Inatakiwa uwe na principal pass ya Advanced Mathematics ingawa sijajua wanataka ufaulu wa kiwango gani.
 
Acturial sciance ni kwa watu wa pcm,pgm na egm au watu wenye diploma za statistics.na inachukua vipanga tupu.
 
Acturial sciance ni kwa watu wa pcm,pgm na egm au watu wenye diploma za statistics.na inachukua vipanga tupu.
So Accounting kama inanihusu... Au co.. Au kuna nyingine bora zaidi?
 
Una GPA kubwa sana katika diploma yako. Mengine Sijui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…