IHOLOMELA
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 1,807
- 1,678
baada ya kuhangaika siku mbili mfululizo kupakua windows 8 enterprise evaluation package, nimeinstall na inaniambia nna lesen ya kuitumia kwa siku 90 tu kuanzia leo. wakati nadownload walinambia activator included sasa nilipo unzip cjaona activator. nimejaribu kugoogle napata activator za kulipia mie mwenyewe kapuku mpenda bure. msaada kwa yeyote anaeweza kunipa link ya kupata free activator ya win 8 enterprise.