Msaada wa Programming! Switching a Modem to download mode and Upgrading the Firmware

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
5,757
2,356
Hellow wakuu!

Nimekwama mahala kidogo kuna kitu najaribu kujifunza katika serialPort programming na GSM hacking!

I can arleady communicate na Modem vizuri tu na naweza ku send some AT Commands nakuzi Display output zake kwenye RichtextBox au Listbox au something similar.
Language nayojifunzia ni C# na Microsoft kajitaidi kurahisisha maisha anayo class library kwa ajili ya SerialPort

Ila sasa kuna Modem ninayo ninataka ni Switch kuja kwenye Download Mode afu niibadilishe Firmware yake si kwa kutumia Tools za watu kama DC-Unlocker au kwa kutumia Huawei Flasher by fr3nsis

How do I go about je kuna any Public known AT Commands za ku switch Huawei modem into download mode?

And after switching into download mode,how and where do I write the file too? Je hiyo sehemu ya memory zinakua hazijawa Locked?

Najua tayari kuna Program zinafanya hivi nyingine ni free nyingine commercial kama DC-Unlocker Hi-Silicon firmware writter ambao wanatumia .dgtk files kuandika firmware kwenye modem.Na najua kuna watu wanafanya hii kitu hapa Bongo hata program zao zimewai kuwa Posted hapa,Nimejaribu kufatilia kwenye GSM Forums ila naona hizi njia zinabaki secret kama latest Huawei Unlock algorithms.

Thanks in advance kwa wote watakao nitoa tongo tongo!
 
Mkuu inategemea na processor unayotaka kuwasiliana nayo, Modem za huawei ni qualcomm, kwa mawazo yangu tu sijui ya wengine
 
Qualcomm Download Mode commands ni ("41 54 2B 43 53 51 0D 0A")
Qualcomm Emergency Mode commands ni ("7E 3A A1 6E 7E")
 
Qualcomm Download Mode commands ni ("41 54 2B 43 53 51 0D 0A")
Qualcomm Emergency Mode commands ni ("7E 3A A1 6E 7E")

Duuh sasa hii ntaituma je Mkuu wakati inaonekana ni Hexadecimal
hamna commands zilizo straight

Nimejaribu zi convert from Hex to Ascii ila hazinipi meaningful AT commands
Hex to ASCII text converter

mfano hiyo ya download mode inanipa "AT+CSQ" ambayo bado hainipi majibu mazuri
 
Tumia hii ila dhani kama modem zote zinakubali straight commands. AT$QCDMG

Unapoweka modem yako kwenye pc ina create three emulated serial ports ambazo zinafanya kazi tofauti tofauti.
1. Modem ( AT commands, packet data )
2. Application ( packet data )
3. Diagnostic ( diagnostic information or commanding )
 
Tumia hii ila dhani kama modem zote zinakubali straight commands. AT$QCDMG

Unapoweka modem yako kwenye pc ina create three emulated serial ports ambazo zinafanya kazi tofauti tofauti.
1. Modem ( AT commands, packet data )
2. Application ( packet data )
3. Diagnostic ( diagnostic information or commanding )

nafikiri nshaelewa hapo kwenye AT commands issue itakua inabii kuzituma katika hiyo format

How about writing Firmware part?
 
writing firmware parts ni kwa mfumo hu huu ("7E 3A A1 6E 7E") packet data + CRC checksum yaani lazima uanze na 7E, packet data, crcchecksum, 7E kama unavyoona hapo juu. command hasa ya kupeleka download mode ni 3A ila ameanza na 7E hiyo 6E ni crc checksum. ngoja kesho au jmosi nitakuwekea
 
Mkuu vipi any maendeleo?
Mkuu kuna mengi sana utatakiwa kuyajua kabla ya firmware writing, unataka kuanza kukimbia kabla hujaanza kutembea.
Naomba usiende kwa spid kali hivyo twende taratibu.
Kwenye project yako kuna properties gani na gani?
1. listbox / richtexbox
2. button ( mbili tatu ) ( mwanzo yangu ilikuw ana zaidi ya kumi )
3. combo box ( mbili tatu )
4. label ( mbili tatu ) ( mwanzo yangu ilikuwa na zaidi ya 50 )
5. serialport ( mbili tatu )
6. timer ( mbili tatu )
7. backgroundworker ( mbili tatu )
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom