Activating visa card on CRDB bank website..

bora wewe unapigiwa simu unaambiwa form imepotea na vitu kama hivyo mimi sipati taarifa yoyote yaani wanappiga kimya tu as if sikupeleka mamombi na kujaz 4m
 
mimi mwenyewe nimejaribu sana kuilink na paypal lakini sifanikiwi naambiwa my request is blocked by the bank who issued the card,kila nikienda bilabila nitajaribu kwenda mlmani city kama Good Guy alivyofanya hope nitafanikiwa,ikishindikana basi nahama
 
Last edited by a moderator:

Thank you!!
I always wanted have two paypal account ninayo ya CRDB mara nyingi system unakuta iko down, hii itakuwa very easy to switch

Lakini kwa nini NBC hawataki kutuambia, just two weeks nimeuliza wanasema hawana nikaenda FNB ikaambiwa hawana pia
 

Tatizo ukienda pale check na mtu wakuuliza wengine hawajui hivi vi-paypal ni vitu gani ni wachache ukimwambia Online purchase atakuelewa lkn in short na imani niliyonayo card yoyote ya VISA au Master Card au Maestro ina uwezo wa kufanya Purchase online
 

Ni kweli mkuu
 
bora wewe unapigiwa simu unaambiwa form imepotea na vitu kama hivyo mimi sipati taarifa yoyote yaani wanappiga kimya tu as if sikupeleka mamombi na kujaz 4m
Wasiliana nao kwenye ukurasa wao wa faacebook, wanasikiliza watakuomba detail zako and within a day or tw0 utatatua taizo hilo
 

Hawa jamaa wahuni tu......! Mtawekaje watu wasiojua huduma zenyu,,.....
 
Wacha mkuu!!! Eleza vizuri! nilishaenda sana customer care wakaniambia hakuna huduma hiyo!!!
Mkuu mimi nimeshajaza na form ya kuenable card ya NBC kufanya online transactions.
Hiyo kitu ipo NBC pia, sijui tawi ulilotembelea au aliyekuhudumia.....
Sema utendaji ndio mbovu cuz walisema watanitumia email ya kuconfirm ila kila nikienda wanasema bado hawajapokea reply kutoka HQ.
So usikatae kwamba haipo.
 
My be watu wanazungumia ile ya kununua kwa mastercard au visa ile ya ku slash kwenye machine......!
 

Mkuu nimeenda mlimani city nimeitisha bank statement transaction ya paypal ipo lakini digit sijaona!! Nimewauliza customer care hawajui kama kitu kama hicho!!
 
Mkuu nimeenda mlimani city nimeitisha bank statement transaction ya paypal ipo lakini digit sijaona!! Nimewauliza customer care hawajui kama kitu kama hicho!!

we customer care nao unawaamini sana sio?
Piga picha hiyo Transaction moja afu waambie wadau hapa wai-spot
 
Mkuu nijuavyo mimi ni kwamba baada ya kwenda CRDB na kupewa form maalum kwaajili ya kuactivate card yako iweze kufanya manunuzi online, wao ndio wataiactivate then watakujulisha, baada ya hapo unaanza manunuzi

Shop online
uko sawa kabisa mkuu hata mie ndivyo walifanya walinipa form tu thn mengine walimaliza wao.
 
Mkuu nimeenda mlimani city nimeitisha bank statement transaction ya paypal ipo lakini digit sijaona!! Nimewauliza customer care hawajui kama kitu kama hicho!!

paypal wali kwambia wataku2mia baada ya muda gani. yani pale walikwambia hyo transaction itachukua muda gani kuonekana bank?
 
wakuu nisaidieni nataka kupokea hela kutoka usa nna card ya crdb tembocard visa nkiingia paypal nambiwa acount blocked nmenda benk akanienable akasema nisubir ujumbe hauji msaada ply au kna njia mbadala asante.
 
Nmb nao wako vizuri na MasterCard yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…